Maandamano yasababisha wanafunzi 27 kujeruhiwa - HD NEWS

Breaking

Habari za Uhakika

Socialize

Tuesday

Maandamano yasababisha wanafunzi 27 kujeruhiwa




Uamuzi huo umefikiwa kutokana na maandamano ya wanafunzi wiki iliyopita.

Nairobi, Kenya. Chuo Kikuu cha Nairobi kimefungwa kwa muda usiojulikana.

Wanafunzi chuoni hapo waliamriwa ifikapo saa tatu asubuhi leo Jumanne wawe wameondoka chuoni hapo.
Uamuzi huo umefikiwa na Seneti ya chuo kutokana na suala la kiusalama.
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Umma wa chuo hicho, John Orindi amesema, "Tutatangaza ni lini chuo kitafunguliwa.”
Uamuzi huo umechukuliwa kutokana na maandamano yaliyofanyika wiki iliyopita ambayo yalisababisha wanafunzi 27 kujeruhiwa.

No comments:

Post a Comment