Paris St-Germain ilipoteza alama katika ligi ya kwanza kwa mara ya kwanza msimu huu, bila ya kuwepo Neymar wipotoka sare ya sufuri na Montpelleir.
Neymar ambaye alitofautiana na Edinson Cavani kuhusu ni nani angepiga penalti katika mechi yao ya mwisho na Lyon, anaaminiwa kuwa na jeraha dogo la mguu Neymar azozana na Cavani na kutaka auzwe Kylian Mbappe ahamia Paris St-Germain
Kylina Mbappe aliokoa mara mbili kutoka kwa Benjamin Lecomte lakini pia mchezo wa PSG haukuwa mzuri.
Kwa sasa wako pointi moja juu ya mabingwa Monaco ambao waliwapa kichapo cha mabao 4-0 Lille siku ya Ijumaa.

No comments:
Post a Comment