Aliyekuwa msanii kwenye Lebo moja RockStarr4000 na Ali Kiba ‘Baraka Da Prince‘ ameonyesha kukubali kazi mpya ya Diamond Platnumz Baraka ni miongoni mwa wasanii wasiojua kuficha hisia zao juu ya muziki wa wasanii wenzake. Post yale leo ilikuwa hivi kuhusu colabo ya Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage – Hallelujah Baraka Da Prince Diamond Platnumz


No comments:
Post a Comment